Bidhaa
Mabati
Mabati ya chuma yaliyopakwa rangi na galvanized kwa nyumba, maghala na taasisi.
- Picha itafuata
Bati la IT4 la Mikunjo
Bati la kawaida la mikunjo kwa paa za nyumba, unene kuanzia 0.13mm hadi 0.30mm.
5 Vipimo →
- Picha itafuata
Bati la Boksi
Bati la umbo la boksi lenye uwezo mkubwa wa kubeba, linafaa kwa maghala na majengo ya biashara.
4 Vipimo →
- Picha itafuata
Bati la Vigae vya Kirumi
Bati lenye muonekano wa vigae vya udongo lakini lenye uzito mdogo zaidi.
3 Vipimo →